Kuhusu Kikao Kazi
Ni Kikao Kazi kinachowakutanisha kila mwaka Maafisa Habari, Maafisa Uhusiano na Maafisa Mawasiliano wa Serikali katika Wizara, Idara, Taasisi na Mamlaka mbalimbali za Serikali ili kutafakari na kufanya tathmin ya kazi zilizofanyika, kuimarishana kitaaluma na kiutendaji, na kuweka mipango ya namna ya kutekeleza majukumu ya Sekta ya Habari.
Karibuni Sana!
Wapi?
New Aman Hotel, Zanzibar
Lini?
Alhamisi hadi Jumapili
Tarehe 3-6 Desemba, 2025
Watoa Mada
Hawa ni baadhi ya Watoa Mada wetu
Dkt. Amina Msengwa
Mtakwimu Mkuu wa Serikali
CP. Charles Omari Mkumbo
Mkurugenzi wa Intelijensia ya Jinai
Kenneth Simbaya
Executive Director of Union of Tanzania Press Clubs
Dkt. Victor Eliah
Mtayarishaji wa Vipindi Mwandamizi TBC
Mr. Mike Mushi
Media & Digital Technology Entrepreneur
Salum Ramadhan Abdalla
Director, Department of Information, Maelezo Zanzibar
Eneo la Tukio
Taarifa na baadhi ya picha kuhusu eneo la Kikao Kazi
New Amaan Hotel, Zanzibar
Iko katika Jiji la Zanzibar, kilomita 3.9 kutoka Makumbusho ya Kumbukumbu ya Amani, kilomita 3.9 kutoka Bafu za Kiajemi za Hamamni(Hamamni Persian Baths), kilomita 4.1 kutoka Cinema Afrique kilomita 4.4 kutoka Zahanati ya Kale na kilomita 6 kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. Huduma ni saa 24.
Habari Picha
Tazama baadhi ya picha za Ufunguzin wa Kikao Kazi
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia mratibu wetu













