WASIFU WA MTOA MADA
Kwa ufupi kuhusu CP. Charles O. Mkumbo
CP. Charles Omari Mkumbo.
Mkurugenzi wa Intelijensia ya Jinai, Jeshi la Polisi
Ni mbobezi katika masuala ya Uchumi (Bachelor of Economics Chuo Kikuu cha Dar es Salaam), Usalama na Uongozi wa Kimkakati (Masters of Security and Strategic Leadership - National Defence College)
Pia anauzoefu wa kutosha katika masuala ya upelelezi na uongozi kutokana na kutumika katika nafasi za Mkuu wa Upelelezi Wilaya za Mbozi, Arumeru na Kinondoni, Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Ilala Dar es Salaam, Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mikoa ya Simiyu, Mwanza na Arusha
